Tuesday, 1 April 2014

Habari wapendwa, umefika muda muafaka wa kufahamu na kuhoji yale ya muhimu katika jamii yetu,
Bunge la Mtaa linakupa fursa ya kufahamu hayo, karibu tubadilishane mawazo

1 comment:

  1. Tuwe wazalendo katika kufanya maamuzi nyeti ya nchi itikadi zetu tuziweke pembeni utaifa mbele

    ReplyDelete